Hadithi
Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 9
- 3024
Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake akikubusu basi nisingekubusu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3347
- 3438
Kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake Alisema kuhusu maanswari (watu wa Madina): Hawampendi ila mtu muumini, na hawamchukii ila mnafiki, atakayewapenda Answaar na Mwenyezi Mungu atampenda, na atakayewachukia Mwenyezi Mungu atamchukia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4958
- 11148
Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hudaibia
SahihiImepokelewa na Ahmad na asili yake ipo katika Sahih Muslim - 65057
Shikamaneni na kumcha Mwenyezi Mungu, na usikivu na utii, hata kama (mzungumzaji) atakuwa mtumwa tena muhabeshi (Muethiopia), na mtakuja kuona baada yangu hitilafu nyingi
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 65073
Nenda kwamwambie: Wewe si miongoni mwa watu wa motoni, bali ni katika watu wa peponi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66370
Karne bora ni karne yangu, kisha wale wanaowafuata, kisha wale wanaowafuata
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66529