Hadithi
Kujifananisha kulikokatazwa
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 3355
“Hakika mtafuata njia za walio kuwa kabla yenu, hatua kwa hatua, na dhiraa kwa dhiraa,
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5353
Atakaye jifananisha na watu fulani basi na yeye ni miongoni mwao
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud na Ahmad - 8905
Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume anayevaa vazi la mwanamke, na mwanamke anayevaa vazi la mwanaume
SahihiImepokelewa na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah kwa maana yake na Ahmad