Hadithi
Makosa ya jinai.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 2962
La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66203
Muumini hatoacha kuendelea kuwa katika wigo mpana katika dini yake, madam hajagusa damu ya haramu
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 66204
Atakayejirusha kutoka juu ya mlima akajiua basi huyo atakuwa motoni akijirusha humo milele na milele
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66246
Asiashirie mmoja wenu silaha kwa ndugu yake, kwani hajui, huenda Shetani akaipokonya kutoka mkononi mwake, akatumbukia katika shimo la moto
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake