Hadithi
Zaka.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Ulazima wa Zaka na Hukumu ya Mwenye kuiwacha. (4)
- Zaka ya wanyama wafugwao. (1)
- Zakaatul Fitri. (2)
- Matumizi ya Zaka. (1)
- Sadaka za kujitolea. (10)
matokeo 18
- 3358
Atakayesimamia chochote kwa watoto wa kike hawa, akawatendea wema, basi watakuwa ni kinga kwake kutokana na moto
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3379
Hakuna siku ambayo wanaamka ndani yake waja isipokuwa kuna Malaika wawili wanateremka, anasema mmoja wao: Ewe Mwenyezi Mungu mpe mtoaji badala, na anasema mwingine: Ewe Mwenyezi Mungu mpe mzuiaji (Bahili) hasara
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3599
Mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4454
Tulikuwa tukitoa kipindi alipokuwa nasi Mtume rehema na amani ziwe juu yake zakatul fitiri, kwa kila mdogo na mkubwa, huru au mamluki, kibaba cha chakula, au kibaba cha siyagi, au kibaba cha ngano, au kibaba cha zabibu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4520
Alifaradhisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake zakatul-fitiri kibaba cha tende, au kibaba cha ngano, kwa mtumwa na aliyehuru, na mwanaume na mwanamke, na mdogo na mkubwa katika waislamu, na akaamrisha itolewe kabla ya watu kutoka kwenda katika swala
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4558
- 5512
- 5805
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu na mimi nikupe
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5813
- 6611
Hakuna mwenye kumiliki dhahabu wala fedha, na akawa hazitolei zaka zake, isipokuwa, pindi itakapofika siku ya Kiyama, atakunjiwa Sahani la kutoka motoni
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6615
Hakuna yeyote miongoni mwenu, isipokuwa ataongeleshwa na Mwenyezi Mungu siku ya Kiyama bila ya kuwapo na mkalimani yeyote kati yake na Yeye (Allah)
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 64632
Ya kwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake pindi alipomuelekeza kwenda Yemen alimuamrisha achukue miongoni mwa ng'ombe katika kila thelathini ndama alianza kufuatana na ng'ombe wengine, wa kiume au kike
Ni sahihi kwa ushahidi wake mbalimbaliImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad - 65000
Umejengwa uislamu kwa mambo matano
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65014
- 65044
na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65613
Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefariki, ni sadaka ipi bora ya kumfanyia? Akasema: "Maji" Akasema: tukachimba kisima, na akasema: Kisima hiki ni kwa ajili ya mama Sa'di
Hassani kwa mkusanyiko wa njia zakeImepoekelewa na Abu Daud, Nasai na Ibn Majah - 65620
Ikiwa mtapenda nitakupeni, lakini mali hii tajiri hana fungu ndani yake wala mwenye nguvu mwenye uwezo wa kuchuma mali
SahihiImepokelewa na Abu Daud na Nasai - 66512
Umejengwa uislamu kwa mambo matano
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim