Hadithi
Hijja na Umra.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
- Wajibu wa Hijja na Umra na hukumu ya mwenye kuziacha (2)
- Fadhila za Hijjah na Umra. (4)
- Masiku kumi ya Dhul hijjah. (1)
- Hukumu za Msikiti wa Makkah na Msikiti wa Mtume na msikiti wa Aq'swa (1)
- Hukumu za Kuhirimia. (1)
- Yaliyo wajibu katika Umra. (1)
- Sifa za Hijjah. (1)
- Hukumu za Msikiti wa Mtume (1)
- Vichinjwa. (2)
- Hukumu na Mambo ya Hijjah na Umra. (1)
matokeo 15
- 2753
Basi itakapokuja Ramadhani, basi fanya Umra, kwani Umra ndani ya Ramadhani ni sawa na Hija.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2758
Atakaye hiji kwa ajili ya Mwenyezi Mungu na hakufanya matendo mabaya,na hakufanya uwovu, atarudi kama siku aliyozaliwa na mama yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2759
- 2971
Alichinja Mtume rehema na amani ziwe juu yake kondoo wawili wazuri weupe wenye pembe, aliwachinja kwa mkono wake, akasema, Bismillahi Allaahu Akbar, na akaweka mguu wake ubavuni mwao
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3024
Hakika mimi ninajua kuwa wewe ni jiwe, haudhuru wala haunufaishi, na lau kama nisingemuona Mtume rehema na amani ziwe juu yake akikubusu basi nisingekubusu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3229
Waliamrishwa watu kuwe kuagana kwao kwa mwisho ni katika nyumba (Alka'ba), isipokuwa likaondoshwa hilo kwa mwanamke mwenye hedhi
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 4521
Si halali kwa mwanamke wa kiislamu kusafiri mwendo wa usiku mmoja, isipokuwa awe pamoja na mwanaume mwenye uharamu wa kumuoa (ndugu yake)
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4535
Nikuwa Talbiya (kuitika) kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kulikuwa ni: Labbaikallaahumma labbaika -Nimekuitikia ewe Mola nimekutikia, Labbaika laa shariika laka labbaika -Nimekuitikia huna mshirika wako nimekuitikia, Hakika sifa njema na neema zote ni zako pamoja na ufalme, wewe pekee usiye na mshirika
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6255
Hakuna siku ambazo matendo mema yanapendeka zaidi ndani yake kwa Mwenyezi mungu kuliko siku hizi" Yaani: Siku kumi (za mwanzo wa Dhul-Hija)
SahihiImepokelewa na Bukhari na Abu Daud na matamshi ya hadithi ni yake - 8954
- 10603
Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65000
Umejengwa uislamu kwa mambo matano
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65090
Kusali ndani ya Msikiti wangu huu ni bora kuliko sala elfu moja zinazo swaliwa nje ya Msikiti huu isipokuwa Msikiti wa Makka
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65627
Fuatanisheni kati ya Hija na Umra, kwani huondoa umasikini na madhambi kama moto unavyoondoa uchafu wa chuma, na dhahabu, na fedha, na haina Hija nzuri na safi malipo isipokuwa Pepo
SahihiImepokelewa naTirmidhiy na Nasai na Ahmad - 66512
Umejengwa uislamu kwa mambo matano
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim