Hadithi
Wakfu.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 6611
Hakuna mwenye kumiliki dhahabu wala fedha, na akawa hazitolei zaka zake, isipokuwa, pindi itakapofika siku ya Kiyama, atakunjiwa Sahani la kutoka motoni
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65566
- 65613
Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, hakika mama Sa'di amefariki, ni sadaka ipi bora ya kumfanyia? Akasema: "Maji" Akasema: tukachimba kisima, na akasema: Kisima hiki ni kwa ajili ya mama Sa'di
Hassani kwa mkusanyiko wa njia zakeImepoekelewa na Abu Daud, Nasai na Ibn Majah