Hadithi
Kutoa Bure na Utoaji wa badala.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 5791
Wallah hatochukua chochote yeyote miongoni mwenu pasina haki yake, isipokuwa atakutana na Mwenyezi Mungu akiwa amekibeba alichochukua siku ya Kiyama
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66179
Peaneni zawadi, mtapendana
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Bukhari katika Al-Adab Al-Mufrad na Abuu Ya'laa na Al-Bayhaqiy