Hadithi
Viapo na Nadhiri.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 2960
Amekataza kuweka nadhiri, na akasema: "Hakika nadhiri haiji kwa kheri, bali hutolewa kwayo (vilivyo) kwa bahili
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2961
Wallahi – akipenda Mwenyezi Mungu - sitokula kiapo cha jambo fulani isipokuwa ninapoona kilichobora zaidi basi huwa ninatoa kafara ya kiapo changu kisha ninafanya lililo bora zaidi.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2980
Yeyote atakayetoa kiapo hali yakuwa ni muongo, ili ajikatie mali ya mtu Muislamu, basi atakutana na Mwenyezi Mungu akiwa kamkasirikia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2995
Atakaye apa juu ya kiapo cha mila isiyokuwa ya uislamu kwa uongo tena kwa makusudi basi atakuwa kama alivyosema
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 64675
Kafara ya nadhiri ndio kafara ya kiapo
SahihiImepokelewa Imamu Muslim