Hadithi
Hadithi na Elimu zake
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 8
- 3686
- 6982
Atakayesimulia kutoka kwangu mazungumzo ambayo yanaonekana kuwa ni uongo basi huyo ni mmoja kati ya waongo
SahihiImepokelewa na Imamu Muslim katika Utangulizi wake - 65005
Kwa hakika imefikia wakati ambao mtu atafikiwa na hadithi yangu akiwa amekaa kwenye tandiko lake na akisema: Hakika kitakachotuhukumu kati yetu ni kitabu cha Mwenyezi Mungu
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ibn Majah - 65043
Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65057
Shikamaneni na kumcha Mwenyezi Mungu, na usikivu na utii, hata kama (mzungumzaji) atakuwa mtumwa tena muhabeshi (Muethiopia), na mtakuja kuona baada yangu hitilafu nyingi
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 65076
- 65077
Andika, namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakitoki ndani yake ila haki
SahihiImepokelewa na Abu Daud - 66529