Hadithi
Ruq'ya ya Kisheria.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 3396
- 5273
Hakika makombe, na hirizi, na limbwata, ni ushirikina
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Ibn Majah na Ahmad - 5542
Ondosha tatizo, ewe Mola wa watu, na ponya kwani wewe ndiye mponyaji, hakuna ponyo ila ponyo lako, ponyo lisiloacha ugonjwa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5650
- 6018
- 6270
Atakayemtembelea mgonjwa ambaye hajafikiwa na mauti, akasema akiwa kwake mara saba: Namuomba Allah Mtukufu, Mola wa Arshi Tukufu, akuponye, isipokuwa Mwenyezi Mungu atamponya kwa maradhi hayo
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad