Hadithi
Kilichokuwa halali na Haramu katika wanyama na Ndege.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 4556
Hakika Allah na Mtume wake ameharamisha kuuza pombe, na mzoga na nguruwe na masanamu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 64643
Alikataza kula kila chenye meno ya chonge katika wanyama wanaoshambulia, na kila chenye mdomo wa chonge katika ndege
SahihiImepokelewa Imamu Muslim