Hadithi
Uchinjaji.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 2971
Alichinja Mtume rehema na amani ziwe juu yake kondoo wawili wazuri weupe wenye pembe, aliwachinja kwa mkono wake, akasema, Bismillahi Allaahu Akbar, na akaweka mguu wake ubavuni mwao
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 2984
Hakika wanyama hawa wafugwao ni wanyama kama walivyo wanyama pori, watakaokushindeni miongoni mwao (kuwachinja) basi fanyeni hivyo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4319
Hakika Mwenyezi Mungu amewajibisha (kufanya) wema katika kila kitu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 66521
Hakika Mwenyezi Mungu amefaradhisha (kutenda) wema katika kila kitu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim