Hadithi
Madai na Ushahidi.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 2980
Yeyote atakayetoa kiapo hali yakuwa ni muongo, ili ajikatie mali ya mtu Muislamu, basi atakutana na Mwenyezi Mungu akiwa kamkasirikia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4722
- 66532
Laiti wangepewa watu yote wanayodai basi kuna watu wangedai mali za wenzao na damu zao, lakini ushahidi ni kwa mwenye kudai na kiapo ni kwa mwenye kukanusha
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Baihaqiy na wengineo hivi na baadhi yake iko katika Swahihi mbili