Hadithi
Ubora wa Tauhiid.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 11
- 3346
Msilifanye kaburi langu kuwa sikukuu, wala nyumba zenu kuwa makaburi, na nitakieni rehma, kwani dua zenu hunifikia popote mlipo
Ni sahihi kwa njia zake na ushahidi wakeImepokelewa na Ibn Abii Shaybah - 3701
Haumpati muislamu uchovu wala maradhi, wala msongo, wala huzuni, wala udhia, wala shida, hata mwiba unaomchoma, isipokuwa anamfutia Mwenyezi Mungu kupitia hilo makosa yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3916
- 10098
Hakuna mtu yeyote atakayeshuhudia kuwa hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu nakuwa Muhammadi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa ukweli toka moyoni mwake, isipokuwa Mwenyezi Mungu atamharamishia moto
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65006
Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, mimi sijaacha dhambi yoyote wala maasi yoyote isipokuwa nimeyafanya, akasema: "Hivi wewe hautamki neno la shahada "Ash-hadu an-laa ilaaha illa llahu wa anna Muhamadan rasuulullah?
SahihiImepokelewa na Abu Yaala, Twabarani na Dhwiyau Almaqidisi - 65007
Basi tambua kuwa haki za Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni wamuabudu yeye na wala wasimshirikishe na kitu chochote, na haki za waja kwa Mwenyezi Mungu asimwaadhibu yeyote ambaye hajamshirikisha yeye na chochote
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65008
- 65014
- 65033
Kwa hakika Mwenyezi Mungu atamchagua mtu mmoja katika umma wangu mbele ya mkusanyiko wa watu siku ya Kiyama
SahihiImepokelewa na Tirmidhi na bin Majah - 65069
Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65109