Hadithi
Ubora wa Qur'an tukufu.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 8
- 6275
Atakayesoma herufi moja katika kitabu cha Allah basi atapata jema moja kwa herufi hiyo, na jema hilo hulipwa mara kumi mfano wake
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa Imamu Tirmidhiy - 10113
Anayesoma Qur'ani kwa uhodari huwa pamoja na msafara wa Malaika watukufu, na anayesoma Qur'ani huku anasitasita na huku kwake bado ni ngumu huyo anamalipo mara mbili
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10851
Someni Qur'ani, kwani, itakuja Siku ya Kiyama kama muombezi kwa sahibu wake
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65049
Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 65053
Je anapenda mmoja wenu pindi atakaporudi kwa mke wake apate Ngamia watatu wenye mimba na walio nenepa?
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65054
Ataambiwa msomaji wa Qur'ani: Soma na upande daraja, na soma kwa utulivu kama ulivyokuwa ukisoma Duniani, kwa hakika upandaji wa cheo chako utakomea katika Aya ya mwisho utakayoisoma
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ahmad - 65055
Mwenye kuisoma Qur'ani kwa sauti ya wazi ni kama mwenye kutoa sadaka hadharani, na mwenye kuisoma Qur'ani kwa siri ni kama mwenye kuficha sadaka
SahihiImepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai - 65099