Hadithi
Ubora wa Kuwatendea Wema wazazi wawili:
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3260
Hebu rudi kwa wazazi wako, na ukaishi nao vizuri
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3718
- 4182
Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni nani mwenye haki zaidi ya kumfanyia wema wa karibu? akasema: mama yako, kisha mama yako kisha mama yako, kisha baba yako, kisha anayefuata kwa ukaribu kisha nayemfuata kwa ukaribu
SahihiImepokelewa na Imamu Muslim - Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 58188
Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, ni nani nimfanyie wema zaidi? Akasema: "Mama yako, kisha mama yako kisha mama yako, kisha baba yako, kisha anayefuata kwa ukaribu kisha anayemfuata kwa ukaribu
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad