Hadithi
Fadhila za matendo ya moyoni.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 9
- 3055
"Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri"
SahihiImepokelewa na Imamu Muslim - Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3383
Kuamini mikosi ni shirki, Kuamini mikosi ni shirki, Kuamini mikosi ni shirki, alisema hivyo mara tatu", Na hakuna yeyote miongoni mwetu isipokuwa ana chembe ya hilo, isipokuwa Mwenyezi Mungu huliondoa kwa kumtegemea
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 4314
Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4721
Lau kama nyinyi mngelimtegemea Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, basi angekuruzukuni kama anavyomruzuku ndege, anatoka asubuhi akiwa na njaa anarudi mchana akiwa kashiba
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 65014
- 65055
Mwenye kuisoma Qur'ani kwa sauti ya wazi ni kama mwenye kutoa sadaka hadharani, na mwenye kuisoma Qur'ani kwa siri ni kama mwenye kuficha sadaka
SahihiImepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai - 65107
- 66515
Hakika halali iko wazi, na hakika haramu iko wazi
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim - 66538
Laiti nyinyi mgetegemea kwa Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, basi angekuruzukuni kama anavyowaruzuku ndege, wanatoka asubuhi wakiwa na njaa, wanarudi jioni wakiwa wameshiba
SahihiImepokelewa na Imam Ahmad, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ibn Hibban katika Sahih yake na Haakim