Hadithi
Adabu za usomaji wa Qur'ani.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 5658
Hakika mfano wa mtu wa Qur'ani ni sawa na mfano wa mmiliki wa ngamia aliyeachwa pasina kufungwa, akimuangalia kila mara atamzuia (kutoroka), na akimuachilia atatoroka
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65055
Mwenye kuisoma Qur'ani kwa sauti ya wazi ni kama mwenye kutoa sadaka hadharani, na mwenye kuisoma Qur'ani kwa siri ni kama mwenye kuficha sadaka
SahihiImepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai - 65252
Tambueni kuwa kila mmoja kati yenu ananong'ona na Mola wake, msiudhiane baadhi yenu kwa baadhi
SahihiImepokelewa na Abu Daud