Hadithi
Adabu za kula na kunywa.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 7
- 3079
Asishike mmoja wenu utupu wake kwa mkono wake wa kulia akiwa anakidhi haja ndogo, na asijifute haja ndogo au kubwa kwa mkono wake wa kulia na asipumulie ndani ya chombo anachonywea
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3372
- 3507
Hakika Shetani hukihalalisha chakula kwa kutotajwa jina la Mwenyezi Mungu katika chakula hicho
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4212
Basi kusanyikeni katika chakula chenu, na mkitajie jina la Mwenyezi Mungu, mtabarikiwa katika chakula hicho
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Ibn Majah na Ahmad - 5798
- 58120
Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 58122