Hadithi
Adabu na Hukumu za Safari.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 3014
Ziache, kwani hakika mimi nimezivaa zikiwa safi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4521
Si halali kwa mwanamke wa kiislamu kusafiri mwendo wa usiku mmoja, isipokuwa awe pamoja na mwanaume mwenye uharamu wa kumuoa (ndugu yake)
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66294
Msiingie miji ya wale waliozidhulumu nafsi zao, isipokuwa muwe mnalia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake