Hadithi
Adabu za kupiga Chafya na Miayo.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3317
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga chafya anaweka mkono wake au nguo yake juu ya kinywa chake, na anapunguza sauti yake
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad - 3706
Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni tano: Kujibu salamu, na kumtembelea mgonjwa, na kufuata jeneza, na kuitika wito, na kumuombea dua mwenye kupiga chafya
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5280
Atakapopiga mwayo mmoja wenu basi na ashike mkono wake juu ya kinywa chake, kwani Shetani huingia
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5343