Hadithi
Adabu za kumtembelea mgonjwa.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 3706
Haki za muislamu juu ya muislamu mwenzake ni tano: Kujibu salamu, na kumtembelea mgonjwa, na kufuata jeneza, na kuitika wito, na kumuombea dua mwenye kupiga chafya
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5542
Ondosha tatizo, ewe Mola wa watu, na ponya kwani wewe ndiye mponyaji, hakuna ponyo ila ponyo lako, ponyo lisiloacha ugonjwa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake