Hadithi
Nyiradi za Asubuhi na Jioni.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 5490
Ewe Mwenyezi Mungu kwako tumeamka, na kwako tunashinda, na kwako tunakuwa hai, na kwako tutakufa, na kwako tutafufuliwa
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah - 5503
Bwana wa Istighfari (Dua ya kuomba msamaha)
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 5508
Hakika ungesema maneno manne, mara tatu, kama ungeyapima kwa uliyo yasema toka siku ya leo yangeyazidi uzito
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 6082
Sema Yeye ni Mwenyezi Mungu mmoja tu" na sura mbili za kinga unapofika nyakati za jioni na nyakati za asubuhi mara tatu, zitakutosheleza kila kitu
SahihiImepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai - 6093
Yeyote atakayesema: Bismillaahi lladhi laa yadhurru ma'asmihi shai un fil Ardhwi walaa fis samaai, wahuwas samiiu'l 'aliim, (Kwa jina la Mwenyezi Mungu ambaye hakuna kinachoweza kudhuru pamoja na jina lake kitu chochote ardhini wala mbinguni, naye ni msikivu na mjuzi) mara tatu, basi halitomfika balaa la ghafla, mpaka atakapoamka
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah na Ahmad - 6274
Atakayesoma aya mbili za mwisho wa suratul Baqara zitamtosheleza
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake