Hadithi
Adh-kaar zote - mbalimbali.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 3567
Dhikiri bora ni: Laa ilaaha Illa llaah: Na dua bora ni: Al-hamdulillah
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah - 5475
- 5507
Maneno mawili mepesi mno katika ulimi, ni mazito mno katika mizani, yanapendeka mno kwa Al-Rahmani (Mwingi wa rehema)
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5511
Hawajawahi kukaa watu kikao chochote wakawa hawakumtaja Mwenyezi Mungu ndani yake, na wala hawakumsalia Nabii wao, isipokuwa itakuwa ni hasara juu yao, akitaka atawaadhibu na akitaka atawasamehe
SahihiImepokAbu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa - 6211
- 65906