Hadithi
Adabu za Dua.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3232
Hujibiwa mmoja wenu anapokuwa hajafanya haraka: anasema: Nimemuomba Mola wangu, na wala sijaona ananijibu mimi
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 5100
- 5499
Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye haya Mkarimu, anamuonea haya mja wake atakapo nyanyua mikono yake kumuelekezea kisha amrejeshe patupu
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ibn Majah - 5886
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendelea dua fupi yenye kukusanya, na anaacha mengine yasiyokuwa hiyo
SahihiImepokelewa na Abu Daud na Ahmad - 5978
Asiseme mmoja wenu: Ewe Mwenyzi Mungu nisamehe ukitaka, nirehemu ukitaka, niruzukua ukitaka, na adhamirie maombi yake, kwani yeye anafanya ayatakayo, hakuna wa kumlazimisha
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake