Hadithi
Sababu za Kujibiwa Dua.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 5
- 3236
Mahala pa karibu zaidi anapokuwa Mola Mlezi na mja ni katikati ya usiku wa mwisho
SahihiImepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai - 4316
- 5382
Palipo karibu zaidi kwa mja na Mola wake ni pale anapokuwa kasujudu,Basi zidisheni dua
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5479
Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiwa swala
SahihiImepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai - 66518