Hadithi
Dua zilizopokelewa toka kwa mtume.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 18
- 2932
Ewe Abbasi, ewe ami yake na Mjume wa Mwenyezi Mungu, muombe Mwenyezi Mungu afya katika Dunia na Akhera
Ni sahihi kwa sababu ya hadithi nyinginezoImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 3056
Ewe Mwenyezi Mungu kwa ajili yako nimejisalimisha, na kwako nimeamini, na juu yako nimetegemea, na kwako nimejisogeza, na kwa ajili yako napambana. Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi najikinga kwako kwa utukufu wako hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa wewe najikinga kwa kuto nipoteza, wewe ndiye uliye hai ambaye hafi, na majini na watu wanakufa
SahihiHadithi hii imepokelewa na Bukhari na Muslim, na matamshi haya ni ya Muslim, na akaipokea Bukhari kwa ufupi - 3142
Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake akisema mara kwa mara: “Ewe Mbadilishaji nyoyo, uweke imara moyo wangu katika dini yako.”
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 3596
Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba uongofu na uchamungu na kujizuia na machafu nakuwa ni mwenye kutosheka
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5329
Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninajikinga kwako kutokana na tabia mbaya na matendo mabaya, na matamanio mabaya
SahihiImepokelewa Imamu Tirmidhiy - 5482
Ewe Mwenyezi Mungu nitengenezee dini yangu ambayo ndiyo kinga ya jambo langu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5483
Ewe Mola wangu Mlezi nisamehe mimi makosa yangu, na ujinga wangu, na ubadhirifu wangu katika jambo langu lote, na yale unayoyajua kutoka kwangu, ewe Mola wangu nisamehe makosa yangu, na yale ya makusudi na ujinga wangu na mzaha wangu, na hayo yote yaliyo kwangu, ewe Mola wangu nisamehe niliyoyatanguliza na niliyoyachelewesha, na niliyoyaficha na niliyoyatangaza, wewe ndiye muwahishaji na wewe ndiye mcheleweshaji, na wewe juu ya kila kitu ni muweza
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5485
Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninakuomba unipe afya katika Dunia na Akhera
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Nasai, Ibn Majah na Ahmad - 5487
- 5488
- 5489
Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi ninajikinga kwako kutokana na kushindwa kulipa deni, na kushindwa na maadui, na kutukanwa na maadui
SahihiImepokelewa na Nasai na Ahmad - 5502
Ilikuwa Dua aiombayo zaidi Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-:ni "Ewe Mola wetu Mlezi, tupe duniani mazuri, na Akhera mazuri, na utukinge na adhabu ya moto
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5878
- 5884
- 5915
- 6112
- 6331
- 65188
Mkimuomba Allah basi muombeni Firdausi
SahihiImepokelewa Imamu Tirmidhiy