Hadithi
Matendo ya moyoni.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 22
- 3087
Yakuwa mtu mmoja alimuuliza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuhusu Kiyama, akasema: Lini Kiyama? Akasema: “Umetayarisha nini kwa ajili yake?”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3142
Alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake akisema mara kwa mara: “Ewe Mbadilishaji nyoyo, uweke imara moyo wangu katika dini yako.”
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 3157
- 3333
- 3342
- 3407
Hakuna kuambukizana, wala mikosi ya ndege, wala mkosi wa Bundi, wala mkosi wa Kipanga (Jamii ya ndege). Na mkimbie mwenye ukoma kama unavyomkimbia simba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3733
Macho ya aina mbili hautoyagusa moto: Jicho lililolia kwa kumuogopa Mwenyezi Mungu, na jicho lililokesha likilinda kwaajili ya Mwenyezi Mungu
SahihiImepokelewa na Imamu Tirmidhiy - 3779
Asife mmoja wenu isipokuwa afe katika hali ya kumdhania vizuri Mwenyezi Mungu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4304
Wakikutana waislamu wawili kwa mapanga yao, basi muuaji na muuliwaji wote motoni
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4308
Wema ni tabia njema, na dhambi ni lile litakalokukereketa katika kifua chako, na ukachukia watu wasilione
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4555
Hakika Mwenyezi Mungu hatazami sura zenu na mali zenu, lakini anatazama katika nyoyo zenu na matendo yenu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4560
Hakika matendo yote huzingatiwa nia, na hakika kila mtu hulipwa kwa lile alilonuia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5493
Muumini mwenye nguvu ni bora na anapendeka kwa Mwenyezi Mungu kuliko muumini dhaifu, na katika kila kheri,
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 5497
- 5953
Hawezi kua na imani mmoja wenu mpaka nipendeke kwake kuliko wazazi wake na mwanaye na watu wote
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6763
Mwenye kukitegemea kitu hufungamanishwa kwacho
Ni nzuriImepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na Ahmad - 65049
Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 65468
- 65772
- 66252
Hivi nisikuelezeni lililo bora kuliko daraja ya swaumu na swala na sadaka?
SahihiImepokelewa na Abu Daud na Tirmidhiy