Hadithi
Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 8
- 3584
Dunia ni Gereza la Muumini na ni Pepo ya Kafiri
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 3850
Lau kama ningekuwa na dhahabu kubwa mfano wa mlima Uhudi, basi ningependa zisipite siku tatu nikiwa namiliki chochote katika mali hiyo zaidi ya kile ninachokihifadhi kwaajili ya kulipa madeni
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim na tamko ni la Bukhaariy - 4307
Ipe nyongo dunia Allah atakupenda ,na usivitolee macho vitu vya watu, watu watakupenda
Amesema Imamu Nawawi: Hadithi hii ni hasanImepokelewa na Ibn Majah na wengineo kwa sanadi nzuri - 5840
Atakayeamka miongoni mwenu akiwa na afya njema katika mwili wake, akiwa na amani katika mji wake, na anamiliki chakula cha siku yake hiyo, basi atakuwa ni kama kakusanyiwa dunia (yote)
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Tirmidhi na bin Majah - 65075
Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Tirmidhi na bin Majah - 65815
Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake milo miwili kwa siku isipokuwa mlo mmoja utakuwa ni tende
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65816
Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa famili ya Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake tangu alipofika Madina, kwa siku tatu mfululizo, mpaka alipofariki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65821