Hadithi
Kuyasema vibaya matamanio ya nafsi na ya kimwili.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 7
- 4723
Hajawahi kujaza mwanadamu yeyote chombo chenye shari zaidi kama tumbo, kinamtosha mwanadamu kiasi kidogo cha chakula kinachoweza kumpa nguvu, ikiwa hakuna namna, basi theluthi moja (ya tumbo lake) iwe kwa ajili ya chakula chake, na theluthi moja ya kinywaji chake, na theluthi moja kwa ajili ya pumzi yake
SahihiImepokelewa na Imamu Ahmad, Tirmidhiy, Nasai na Ibn Majah - 5830
Sikuacha baada yangu fitina yenye madhara zaidi kwa wanaume kuliko wanawake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65047
Msijifunze elimu kwa ajili ya kujifaharisha kuwa ni katika maulama, wala kwa kujadiliana na wasiokuwa na elimu
SahihiImepokelewa na Ibnu Maajah - 65049
Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 65062
Ikiwa utawaona wenye kufuata Aya zenye kutatiza basi hao ndiyo ambao Mwenyezi Mungu amewataja katika aya
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66382
Hupitishwa fitina katika nyoyo (kama ufumwavyo mkeka) ukindu (kijiti) kimoja kimoja
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 66535
Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua nayo
Amesema Nawawi: Hadithi hii ni sahihiImepokelewa na katika kitabu cha Al-Hujjah kwa msururu sahihi wa wasimulizi