Hadithi
Toba
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 8
- 3602
Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni kupi kunusurika? Akasema: "Shika ulimi wako, na ikutoshe nyumba yako, na lia kwa ajili ya makosa yako
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad - 4318
- 5344
Kila mwanadamu ni mkosefu, na mbora wa wakosefu ni wale wenye kutubia
Ni nzuriImepokelewa na Ibnu Maajah - Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na Ahmad - Imepokelewa na Addaaramy - 5456
“Ewe mwanadam, maadamu unaniomba na kunitumainia, nitakusamehe uliyo nayo wala sitojali
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa Imamu Tirmidhiy - 58240
- 65063
Hakuna mtu yeyote atakayetenda dhambi, kisha akasimama akajitwaharisha, kisha akaswali, kisha akamuomba Allah msamaha, isipokuwa Mwenyezi Mungu humsamehe
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah na Ahmad - 65114
Hakika Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu na Mtukufu, halali, na wala haimstahikii kulala
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 66210
Nipeni ahadi ya utiifu ya kuwa msimshirikishe Mwenyezi Mungu na kitu chochote, na wala msiibe, na wala msizini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake