Hadithi
Watu wa makaburini.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 3010
Hakika hao wawili wanaadhibiwa, na hawaadhibiwi kwa makosa makubwa, ama mmoja wao alikuwa hajistiri na mkojo, na ama mwingine alikuwa akitembea kwa kuchonganisha watu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 11205
Hakika kaburi ndio kituo cha kwanza katika vituo vya Akhera, ikiwa mtu atasalimika nalo basi yajayo baada yake ni mepesi kuliko hili, na asiposalimika nalo basi yajayo baada yake ni magumu kuliko hili
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Tirmidhi na bin Majah