Hadithi
Ubora wa uislamu na uzuri wake.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 7
- 3229
Waliamrishwa watu kuwe kuagana kwao kwa mwisho ni katika nyumba (Alka'ba), isipokuwa likaondoshwa hilo kwa mwanamke mwenye hedhi
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 3553
Pindi anapougua mja au akasafiri basi huandikiwa mfano wa yale aliyokuwa akiyafanya akiwa nyumbani tena mwenye afya
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 3561
Kulikuwa na mtu ambaye sifahamu kama kuna mtu alikuwa akiishi mbali kuliko yeye, na swala ilikuwa haimpiti
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 4568
Kila kiungo kwa watu kina sadaka
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5795
- 65074
Enyi watu hakika Mwenyezi Mungu ameondosha kwenu nyinyi kiburi cha zama za ujinga, na kujifaharisha kwa nasaba
SahihiImepokelewa na Tirmidhi na bin Hibban - 66527
Kila kiungo kwa watu kina sadaka
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim