Hadithi
7- Hukumu ya kuamrisha Mema Na Kukataza Mabaya:
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3470
Hakika watu wakimuona dhalimu na wasimchukulie hatua, basi wako karibu Mwenyezi Mungu kuwaadhibu wote kwa adhabu yake
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah na Ahmad - 3531
Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakika mtaamrisha mema, na mtakataza mabaya; au hakika atakuwa karibu zaidi Mwenyezi Mungu kukutumieni adhabu toka kwake, kisha mtamuomba na wala hamtojibiwa
Ni nzuriImepokelewa na Imamu Tirmidhiy - Imepokelewa na Ahmad - 65001
- 66273
Kusimzuie mmoja wenu kuwaogopa watu akaache kusema haki atakapoiona au kuijua
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad