Hadithi
Nasaba ya Mtume, rehema na amani za Allah ziwe juu yake
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 66303
Jambo la kwanza alilioanza kupewa Mtume wa Mwenyezi Mungu rehema na amani ziwe juu yake katika wahyi, ni njozi nzuri (za kweli) usingizini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66304
Wakati nikiwa natembea ghafla nilisikia sauti kutoka mbinguni, nikanyanyua macho yangu, ghafla yule Malaika aliyenijia nikiwa pango la Hiraa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake