Hadithi
Ubora wa kuitilia umuhimu Qur'ani.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 5907
Shikamaneni vizuri na hii Qur'ani, namuapa yule ambaye nafsi ya Muhammadi iko mkononi mwake, hutoroka kwa kasi mno kuliko hata Ngamia katika kamba yake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5913
Mmbora wenu ni yule aliyejifunza Qur'ani na akaifundisha
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 6258
Mfano wa muumini mwenye kusoma Qur'ani ni kama mfano wa chenza harufu yake nzuri na ladha yake nzuri, na mfano wa muumini ambaye hasomi Qur'ani ni kama mfano wa tende: haina harufu na ladha yake ni tamu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6275
Atakayesoma herufi moja katika kitabu cha Allah basi atapata jema moja kwa herufi hiyo, na jema hilo hulipwa mara kumi mfano wake
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa Imamu Tirmidhiy - 10113
Anayesoma Qur'ani kwa uhodari huwa pamoja na msafara wa Malaika watukufu, na anayesoma Qur'ani huku anasitasita na huku kwake bado ni ngumu huyo anamalipo mara mbili
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65054
Ataambiwa msomaji wa Qur'ani: Soma na upande daraja, na soma kwa utulivu kama ulivyokuwa ukisoma Duniani, kwa hakika upandaji wa cheo chako utakomea katika Aya ya mwisho utakayoisoma
Ni nzuri (Hasan)Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ahmad