Hadithi
Wake zake Mtume Rehema na amani za Allah ziwe juu yake na hali ya Nyumba ya Mtume.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 4239
Alifariki Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- hali yakuwa hakuna chochote nyumbani kwake anachoweza kukila mwenye ini (uhai) ila kiasi kidogo cha ngano kilichokuwa katika ubao wangu (wa kuhifadhia chakula), nikala mpaka kikakaa muda mrefu, nilipokipima kikamalizika
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 6220