Hadithi
Watumishi wake Mtume rehema na amani za Allah ziwe juu yake:
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
tokeo 1
- 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake