Hadithi
Vita alivyoshiriki na Ambavyo hajashiriki Mtume Rehema na amani za Allah ziwe juu yake:
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 3409
Ninamuapa Mwenyezi Mungu, ikiwa Mwenyezi Mungu atamuongoza mtu mmoja kupitia kwako, hilo ni bora zaidi kwako kuliko ngamia wekundu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66184
Laiti wangeingia wasingelitoka humo mpaka siku ya Kiyama; Utiifu unakuwa katika jambo jema
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake