Hadithi
Msimamo wa Ahlu Sunna kuhusu watu wa uzushi
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 65868
Watatokea katika zama za mwisho watu wenye umri mdogo (vijana), wenye mawazo ya kipumbavu, watazungumza maneno mazuri kuliko maneno ya viumbe wote, (lakini) wanatoka katika Uislamu kama unavyotoka mshale katika upinde
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 66535
Hatokuwa na imani mmoja wenu mpaka yawe matamanio yake ni yenye kufuata yale niliyokujua nayo
Amesema Nawawi: Hadithi hii ni sahihiImepokelewa na katika kitabu cha Al-Hujjah kwa msururu sahihi wa wasimulizi