Hadithi
Kuondoa Najisi.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 3030
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiingia chooni, ninambebea mimi pamoja na kijana wa rika langu, chombo chenye maji na mkongojo, basi anastanji kwa maji
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3076
Sub-haana llaah, ametakasika Mwenyezi Mungu, hakika muumini hanajisiki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3078
“Mnapoingia chooni, msielekee Kibla, wala msikipe mgongo, bali elekeeni Mashariki au Magharibi.”
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3143
Atakapokunywa mbwa katika chombo cha mmoja wenu basi akioshe mara saba
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3348
Nilikuwa ni mtu mwenye kutokwa na madhii kwa wingi na nilikuwa nikiona haya kumuuliza Mtume Rehema na amani ziwe juu yake kutokana na nafasi ya binti yake kwangu, nikamuamrisha Mikidadi bin Aswadi, akamuuliza, akasema: "Aoshe tupu yake na atawadhe
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3529