Hadithi
Sunna za Kimaumbile.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 8
- 3063
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3144
Mambo ya kimaumbile ni matano: Kutairi, na kunyoa sehemu za siri, na kupunguza masharubu, na kupunguza kucha na kunyofoa nywele za kwapa
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3279
Punguzeni sharubu na mfuge ndevu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3456
- 3588
Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola
SahihiImepokelewa na Nasai na Ahmad - 3652
- 3730
- 66049