Hadithi
Sifa za Kutawadha.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 6
- 3313
Atakayetawadha mfano wa udhu wangu huu, kisha akasali rakaa mbili ambazo haizungumzishi ndani yake nafsi yake, basi Allah atamsamehe madhambi yake yaliyotangulia
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3444
akatawadha mbele yao udhu wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 8377
Atakapoamka mmoja wenu kutoka usingizini mwake basi na apenge kwa maji mara tatu, kwani Shetani hulala ndani ya tundu zake za pua
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65081
Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 65082
Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 66392
Ole wao (wasiofikisha maji katika) visigino (watakua na adhabu ya) moto, enezeni maji ya udhu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake