Hadithi
Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 11
- 3714
Alitajwa kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake mtu mmoja aliyelala usiku mpaka pakapambazuka, akasema: "Huyo ni mtu aliyekojolewa na Shetani ndani ya masikio yake, au alisema: ndani ya sikio lake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5272
- 6261
Atakayeacha swala ya Lasiri basi yameporomoka matendo yake
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 65000
Umejengwa uislamu kwa mambo matano
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65044
na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65088
Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 65093
Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 65094
Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni sala, na atakayeiacha sala basi huyo ni kafiri
SahihiImepokelewa na Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad - 65426
- 66359
(Shikamaneni na) Swala nyinyi na waliomilikiwa na mikono yenu ya kuume
SahihiImepokelewa na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah - 66512
Umejengwa uislamu kwa mambo matano
SahihiImepokelewa na Bukhari na Muslim