Hadithi
Nyakati zilizo katazwa kusali.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 2
- 3081
Amekataza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuswali baada ya swala ya sub-hi mpaka lichomoze jua, na baada ya laasiri mpaka lizame
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy na Muslim kwa riwaya zake - 10604
Nyakati tatu alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitukataza kuswali ndani yake, au kuzika ndani yake maiti wetu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim