Hadithi
Masharti ya Swala.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 4
- 3537
Alichelewesha Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- swala ya ishaa, akatoka Omar, akasema: Swala Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, wamelala wanawake na watoto, akatoka na kichwa chake kikitona maji akisema: Lau kama nisingehofia kuwapa tabu umma wangu basi ningewaamrisha swala hii waiswali wakati huu
SahihiWamekubaliana Bukhaariy na Muslim - 10639
Asiswali mmoja wenu katika nguo moja ambayo hakuna chochote mabegani mwake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 10647
Msikae juu ya makaburi, na wala msisali kwa kuyaelekea
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 58148
Imenyanyuliwa kalamu kwa watu wa aina tatu: Kwa aliyelala mpaka aamke, na kwa mtoto mdogo mpaka abalehe, na kwa mwendawazimu mpaka apate akili
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah na Ahmad