Hadithi
Adh-kaar - zisomwazo- wakati wa swala.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 14
- 3103
Allaahumma inniy a'udhubika min adhaabil Qabri, wa min adhaabin naari, wamin fitnatil mahyaa wal mamaati, wamin sharri fitnatil masiihiddajjaali
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3104
Allaahumma baaid bainiy -Ewe Mwenyezi Mungu weka mbali baina yangu- wa baina khatwaayaaya -na baina ya makosa yangu- kamaa baa a'tta bainal mashriqi wal maghribi -kama ulivyoweka mbali baina ya mashariki na magharibi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 3518
- 3566
- 5212
Hakuwahi kuswali tena Mtume rehema na amani ziwe juu yake swala yoyote baada kuteremka kwake: "Itakapokuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ufunguzi" [An-Naswir:1] Isipokuwa alikuwa akisema ndani yake: "Sub-haanaka Rabbanaa wabihamdika Allaahummagh-firlii, (umetakasika Mola wetu Mlezi na sifa njema ni zako, ewe Mwenyezi Mungu nisamehe)
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5377
Hakika Mtume rehema na amani ziwe juu yake alitoka kwetu sisi, tukasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tumekwishafahamu ni vipi tutakusalimu, sasa ni vipi tutakutakia Rehema?
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 6203
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitoa tahlil (Laa ilaaha illa llaah) kwa maneno haya mwisho wa kila swala
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 6259
- 10930
Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akisema kati ya sijida mbili: "Allaahumma ghfir lii, warhamnii, wa aafiniii, wahdinii, warzuqniii
Ni Nzuri kwa Ushahidi wake mbalimbaliImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad - 10947
Allaahumma antas salaam waminkas salaam, tabaarakta yaa dhal-jalaali wal-ikraam
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 10948
- 10950
Yeyote atakayesoma Ayatul Kursiy mwisho wa kila swala ya faradhi hakuna kitakachomzuia kuingia peponi isipokuwa kufa
SahihiImepokelewa na Nasai katika kitabu Alkubraa - 65101
- 65102
Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikua akisema mwishoni mwa kila swala ya faradhi
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake