Hadithi
Ubora wa Swala ya Jamaa na Hukumu zake.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 9
- 4566
Swala ya mtu katika jamaa inazidi swala yake sokoni kwake na nyumbani kwake kwa daraja zaidi ya ishirini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4850
Atakayekula kitunguusaumu, au kitunguu maji, basi na ajitenge nasi, au ajitenge na msikiti wetu, na akae nyumbani kwake
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 5436
Atakayekwenda asubuhi msikitini au mchana, Mwenyezi Mungu humuandalia nyumba peponi kila anapotoka asubuhi au jioni
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 11286
Imekuwa ni bora swala ya wengi kuliko swala ya mmoja wenu peke yake, kwa vipengele ishirini na tano, na hukusanyika Malaika wa usiku na Malaika wa mchana katika swala ya Alfajiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 11287
Je, wasikia wito wa swala?" Akasema: Naam, akasema: "Basi ujibu
SahihiImepokelewa Imamu Muslim - 11299
- 11306
Hakika swala hizi mbili, ni swala nzito sana kwa wanafiki, na lau kama mngejua malipo yaliyomo basi mngezijia, hata kwa kutambaa kwa magoti
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Nasai na Ahmad - 65738
Timizeni safu ya mbele, kisha inayofuata, na kama kuna mapungufu basi yawe katika safu ya mwisho
SahihiImepokelewa na Abu Daud na Nasai - 65739
Itakapokimiwa swala basi hakuna swala nyingine isipokuwa swala ya faradhi
SahihiImepokelewa Imamu Muslim