Hadithi
Sunna za kila siku zilizopangiliwa
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 3440
Hakuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa na mkazo mkubwa na kudumu na jambo kama alivyokuwa katika rakaa mbili za Alfajiri
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 11249
Yakwamba Mtume -rehema na amani ziwe juu yake alikuwa haziachi rakaa nne kabla ya Adhuhuri na rakaa mbili kabla ya Alfajiri
SahihiImepokelewa na Al-Bukhaariy - 11251
Atakayehifadhi rakaa nne kabla ya Adhuhuri na rakaa nne baada yake basi Mwenyezi Mungu atamharamisha kuingia motoni
SahihiImepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad