Hadithi
Sunnah za Funga.
Chanzo: HadeethEnc.com, Kiswahili v1.18.0
matokeo 3
- 4438
Wanaendelea watu kuwa katika kheri kwa muda wote watakaofanya haraka kufuturu
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4457
Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, kisha akasimama kwenda katika swala, nikasema: Ulipita muda gani baina ya adhana na daku? Akasema: Kiasi cha (kusoma) aya hamsini
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake - 4498
Chelewesheni kula daku, hakika katika kuchelewesha kula daku kuna baraka
SahihiWamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake